0
Akiwa kwenye Interview ya Radio mkali wa rnb Alicia Keys ambaye ni
mke wa Producer Swizz Beats ameongelea colabo na Wiz Kid nakusema
inawezekana na hakuna mipaka.


Mtangazaji aliuliza kuhusu Post ya Instagram ya colabo ya Alicia Keys na WizKid na Alicia alisema “Nampenda
WizKid ,kuna muziki bado tunausikiliza,  muziki hauna mipaka ,Fela
alishawishiwa sana na James Brown kwahio hakuna mahali muziki utashindwa
kuish
i



Interview ilikuwa kwneye kipindi cha Oldman Ebro on Apple’s Beats 1 radio.

Chapisha Maoni

 
Top