0
Baada ya kurudi kutika kwenye mechi za kimataifa za nchini Yake, mshambuliaji wa Man Utd Memphis Depay yuko tayari kufungua mazungumzo ya kuhama timu labda kwa mkopo na kwenda Everton.
Memphis Depay ni miongoni mwa wachezaji wanaokosa namba kwenye timu ya Manchester United iliyopochini ya Jose Mourinho.
Kocha Ronald Koeman alimtazama Depay vizuri kwenye mchezo mechi ya Holland waliotoka sare na Belgium nakuonyesha nia ya kutaka kumsaini mchezaji huyu mwenye miaka 22.
#Sportsmail imethibitisha kuwa Depay yupo tayari kwa mazungumzi sababu mpaka sasa msimu huu amecheza kwa dakika20 tu kwenye Premier League.
Man Untd ilitumia Pound milioni £25 kumnsasa kutoka PSV Eindhoven mwaka hana

Chapisha Maoni

 
Top