RNB Diva Keri Hilson amethibitisha kuwa ameachana na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye ni mchezaji wa NBA Serge Ibaka.
Kwenye interview na Rolling Out Magazine anasema “Kuwa
kwenye mahusiano na rapa,mwigizaji, mwanamichezo maarufu ilikuwa mwiko
kwangu, sikutaka kabisa, nimekiuka sheria nilizojiwekea
mwenyewe,nilikubali sababu nilijua ni mtu tofauti, sio mvuto wala pesa,
nampenda mtu anaye mpenda Mungu”
Keri Hilson amekuwa kimya kwa muda mrefu ila sasa yupo studio akianda album mpya itakayoitwa L.I.A.R. (Love is a Religion).
Nyumbani
»
Entertainment
» Keri Hilson ni SINGLE GIRL, ataja anachojutia kwenye mahusiano na baller Serge Ibaka .
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni