Rapa French Montana amejikuta kwenye jengo moja na mcheza kikapu wa timu ya Lakers Nick Young jumatatu hii.
Hii inaweza kuwa kawaida kama isinge kuwa French Montana na toka na
Iggy Azalea ambaye ni Ex wa Nick Young na wote walikuwepo kwenye mgahawa
huo huko West Hollywood.
French Montana aliambiwa na mapaparazzi baada ya kutoka nje ya
mgahawa huo kuwa Nick Young alikuwepo ndani na mpenzi wake ambaye ni
mwimbaji na mwandishi wa nyimbo Paloma Ford.
Jibu la Montana lilikuwa SIMPLE tu na akasema “Swaggy is his favorite
Laker” Akimaanisha Nick Young ndiye mchezaji wa Lakers anayemkubali
zaidi sababu Aka ya Nick Young Ni Swaggy.
Nyumbani
»
Entertainment
» Hakuna beef kati ya French Montana na Nick Young,wapiga msosi kwenye mgahawa mmoja.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni