Hawa ni mastaa Nane Afrika wenye Followers wengi zaidi Instagram, orodha hii imeongozwa na Mnigeria Davido, akifuatiwa na Mtanzania Diamond Platnumz
Davido Milioni 3.1
Diamond Platnumz Milioni 3
Wizkid Milioni 2.8
Don Jazzy Milioni 2.4
Tiwa Savage Milioni 2.5
Vanessa Mdee Milioni 2
Alikiba Milioni 1.6
Yemi Alade Milioni 1.4
story by
Chapisha Maoni