Ili kuiteka dunia ni vizuri uvunje sheria za
kazi na kuvuka mipaka kama anavyofanya msanii Wiz Kid, Davido, Tiwa
Savage Wa Nigeria huku Tanzania wasanii kama Diamond, Ali Kiba, Navy
Kenzo, Vee Money wakifanya mambo kama hayo.
This Time Davido amethubutu kufanya kazi na
producer mkubwa Marekani ambaye makao yake makuu ni Los Angeles,
California. DIPLO anatayarisha colabo ya Davido na kundi la Major
Lazer.
Kupitia Instagram Davido alitufahamisha ” WORLD STAGE ???? IN THE MAKING .. @diplo @majorlazer ????????????”
Diplo kafanya kazi na wasanii wakubwa kama Gwen Stefani, M.I.A., Die
Antwoord, Britney Spears, Madonna, Shakira, Banda Uó, Beyoncé, No Doubt,
Justin Bieber, Usher, Wale, Big Sean, Snoop Dogg, Chris Brown, CL,
Ellie Goulding, MØ, Sean Paul na G-Dragon
Nyumbani
»
Entertainment
» Davido aingia studio na international producer ‘Diplo’ kuisuka colabo ya Major Lazer.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni