
Wema Sepetu asema Calisah aliutamani umaarufu…..
Baada ya kusamba kwa video ya Wema Sepetu na Calisah
wakipeana mabusu kitandani, Wema ametumia instagram yake kumchana
Calisah kwa kuandika kuwa jamaa alikuwa anataka kiki kutoka kwake.
Post Za Wema zilisema “You were realy hungry for fame”

Chapisha Maoni