0


 Star wa bongo movie WEMA SEPETU au ukipenda unaeza muita tz sweethrt ameonyesha u sweethrt wake baada ya video yake kuvuja mitandaoni akiwa na dogodogo mwanamitindo CALISAH wakitwangana mabusu moto moto story hiyo ya super star huyo kutoka tasnia ya uigizaji hapa nchini tanzania imeweza kuifunika story yote ya donald trump katika vichwa vya watanzania wengi wanaofatilia mitandao ya kijamiii hasa instagram. Baada ya kusamba kwa video hiyo  Wema Sepetu na Calisah
wakipeana mabusu kitandani, Wema ametumia instagram yake kumchana
Calisah kwa kuandika kuwa jamaa alikuwa anataka kiki kutoka kwake..unaweza kuitazama video pia ku share na washikaji story by @deejay_chocolate_musa

Chapisha Maoni

 
Top