
Hanscana afanya Hit Videos Tano ndani ya Miezi miwili tuu!!
this week kuna zingine Mbili zinaongezeka hapo hii ni kwa mujibu ya akaunti yake ya facebook hanscana ameeleza hayo...anasema sio kwa uwezo wake yeye ila ni kwa uwezo wa mungu ndiye aliyefanikisha hayo Hanscana aliandika maneno haya katika akaunti yake........................................Sio kwa uwezo wangu Ni kwa Neema Za Mungu .
kuweza fanya Hit Videos Tano ndani ya Miezi miwili tuu!!
.
this week kuna zingine Mbili zinaongezeka hapo ... Gusa Link kwenye Bio yangu kutazama nnee Hit video
Chapisha Maoni