0
Michezo pia hujenga afya kwa kuliona hilo mdau mwenzetu aliguswa na kuamuwa kujitolea mchango wake,mapema leo asubuhi nikiwa ofisini Makumbusho sec nilipokea mgeni& kunikabidhi mipira kama mchango wake katika zoezi nililolianzisha la kusaidia watoto wenye mahitaji maalum.Ili kukuza vipaji vya watoto wetu wenye mahitaji maalumu.asante sana

Chapisha Maoni

 
Top