0
#‎Repost‬ @best_deejayz_in_bongo_tanzania
・・・
#Repost @mkubali_mwenzio
・・・
Nimeona kila Harakati hadi za wapiga Debe /mama Ntilie/ Madreva / waandish wa Habari /wanafunzi lkn Harakati ya Dj's kujikomboa na kutafuta kutambulika kama kazi ambayo inaweza kuliingizia kipato taifa hata kama ni kidogo,,Najiuliza maswali Wabunge wetu hivi huwa hawaendi Disco,,? au wanadhani disco ni uhuni au zile mashine zinajiendesha zenyewe ,? Sio vibaya kushughulikia haki za wasanii lkn wakumbuke msanii kuna wakati anamuhitaji sana Dj kwa hiyo kuna umuhimu wa kumshughulikia na Dj pia atoke kwenye kukandamizwa nae Asimame Ikibidi Apewe Lesen ya kazi yake na Ailipie hiyo lesen na iwe marufuku kwa asiekuwa na lesen kufanya kazi bila lesen hapo ndipo waajiri wa djs watawaheshimu djs pia najiuliza Msanii Kama anavyosapotiwa yy je na yy anamsapot dj,,?,, Kama ttzo lilikuwa ukimya wa Madj sasa tumeamka na tumesema tutaendelea kusema mpka kieleweke Harakati imeanza djs woote mliochoshwa na dharau za maboss au waajiri karibuni Tuma namba yako ya cm kwa 0767224022 ili uunganishwe kwenye grp ya harakati twende pamoujah kama unajijua uwezi harakati tulia ""RESPECT THE DJ"" kwa yeyote atakaeguswa naomba a share pls

Chapisha Maoni

 
Top