Kama Donald Trump ameza kushinda basi mtu yoyote maarufu anaweza kujaribu.
The Rock alisema “Kila nikiulizwa hilo swali nilifanya kama utani na kujibu ila sasa naliwaza zaidi jambo hili. ila najiuliza je nitaleta tofauti kwenye nchi? nitazungukwa na watu watakao niunga mkono, je najali hii nchi hayo ndio maneno The Rock aliyozungumza kuhusu nia yake iyo...

Chapisha Maoni