0







Mtu wa karibu na timu ya Mary J Blige ametoa ripoti ya siri kuwa sababu ya Mary na mume wake Kendu kuachana ni kutokana na usaliti mkubwa alioufanya mume wake na msanii wa Mary J Blige. 
Stori hii mfanyakazi huyu aliisikia back stage kwenye show ya Maxwell na Mary J Blige Kuwa Ex wa Mary ‘Kendu’ alikuwa na mahusiano ya siri kwa miaka 7 na msanii moja ambaye yupo chini ya Mary J Blige anayefahamika akama ‘Starshell‘.

Mary J alimfuta kwenye lebo yake miaka kadha iliyopita ila Kendu aliendelea kuwa karibu na mwanamke huyu na hata kumpangia nyumba mjini LA walipoishi yeye na Mary J Blige
                                                                         Starshell
                                                              Mary J Blige na Starshell

Chapisha Maoni

 
Top