0
Mtandao wa instagram Tanzania umepata mtoto Leo 16 November 2016 baada ya picha ya Lady Jay Dee na Rasta Flani kusamba kwenye mtandao huo huku pakiwa na tetesi kuwa ndio mpenzi wake mpya.
Wawili hawa walikuwa kwenye hotel ya Serena huko Zanzibar kwaajili ya chakula cha usiku kwa mujibu wa maelezo ya Jide kwenye Picha Hio................... picha kwa hisani ya Lady Jay Dee

Chapisha Maoni

 
Top