0
Manukato itakuwa biashara nyingine atakayokuwa anafanya bongo fleva super staa kutoka Tanzania Diamond Platnumz.
Kwa sasa amejiunga na mastaa kama Jennifer Lopez na Nicki Minaj ambao tayari wana manukato yao na kila siku wanatengeneza pesa kwa kubuni manukato mengine na kuingiza sokoni kwaajili ya mashabiki zao.
Diamond Platnumz anaelekea kuingiza sokoni manukato yake yatakayoitwa #ChibuPerfume

Chapisha Maoni

 
Top