dj virus dj virus
Pooooo poooooooo poooooooooo ajeeeee ajeeeeeee hii ni nyingine tena kwa
wale wanafunzi wote wa secondary wa shule za mkoa wa Kilimanjaro pamoja
na maraiya wengine tukutane jumamos hii ya tarehe 7 mwezi huu wa tano
pale Hindu Mandal mkabala na stand ya mabasi ya mikoani katika bonge la
event the brighter on the mix kawa kawa mtoto wa nyumbani Dj Virus Tz
mafekecheeeee (dj virus skills session, dj virus scratching session, dj
virus mixing session, dj virus mixing and hyping session, dj virus
mixing and dancing session) unakosajeeee kwa mfanoo, on the stage
atakuwa Roma kutoka ukatolikini kwa mtonyo wa buku mbili tuuh mlangoni
tym ni asubuh mpaka jioni stage kubwaaaaaaaa sound kubwaaaaaaaa
usiadisiwe shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ujeeeeeee
Chapisha Maoni