0
Naamini katika kutoa naomba tuungane na my sweet mama Dorise Mbeyela ktk kufanikisha lengo ntafute hata mm...hawa watoto wana ulemavu wengine wametelekezwa apo kituon naomba tuungane kuwachangia sabuni,vyakula,vifaa vya shule na vngne mm nletee hata kifutio ntashukuru..pamoja tunaweza
Mawasiliano zaidi 0758450126

Chapisha Maoni

 
Top