#Kutokamagazetinileo
Kampuni za simu nchini zapigwa faini ya mamilioni.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoza kampuni tano za simu za mkononi, faini ya Sh milioni 112.5 kutokana na kushindwa kutekeleza masharti na vigezo vya ubora wa huduma......Kampuni zilizoadhibiwa kwa kukiuka kanuni ya ubora wa huduma za Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za mwaka 2011, ni Airtel Tanzania Limited, Benson Informatics Limited (Smart), MIC Tanzania Limited (Tigo), Vodacom Tanzania Limited na Zanzibar Telecom Limited (Zantel).
#HabariLeo

Chapisha Maoni