0
Ma dj wa mwanza wapiga picha ya pamoja baada kumaliza kikao chao cha kutafuta kutambulika kisheria na serikali kilichofanyika mwanza maeneo ya villa park wanaharakati hawa ma dj wamekua wakipambana mda sana kufanikisha hili swala kama unavoona picha hi haya ni baadhi ya majina ya ma dj walioudhuria kikao icho dj chriss magaro dj john lyatuu dj simba dj chriss nyiti dj timba dj guks dj willy bee dj k flip dj jacko dj benny dj hk dj mike beatz

Chapisha Maoni

 
Top