Ni bint anayejitambua anacho kifanya pili awezi kwenda kwa waganga iliii afanikiwe atatumia nguvu zake na akili ili kuhakikisha anafikia malengo katika game ya mziki mwanadada uyo Santana Laizer aliongea na best djz kuusu muustakabali wake katika game ya muziki wa kizazi kipya...
Santana Laizer alifanyiwa mahojiano Na BBC London x clussive interview mwezi huu wa 3 mwaka 2016 mola barik kaz ya mikono yangu ndivyo alivomaliza Santana Laizer...
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hongera sana...wasanii wanaojituma watafanikiwa sana..hiyo wimbo tumeikubali..big up!
JibuFuta