0
Week end twaianza ijumaa nyingine hii tunapolimaliza wiki la burudani ya ki afrika kunako Afro Dance ya 88.5 Triple a fm-Arusha 12 dakika 10 jioni hadi 2:30 usiku kama ilivo ada ijumaa zamwagwa Soukous za hatari mwanzo mwisho mashine ndo inaongea zaidi kuliko maneno kaa humo tuondoe pamoja stress!!!!! www.tripleafm.com duniani huko tusomane humo.

Chapisha Maoni

 
Top