Chapisha Maoni

  1. Ingiza video yako ya mziki kwenye mashindano ya bure ya mziki ya dunia ili utangaze jina lako la usanii na kujenga mtandao wako wa washabiki duniani kote.

    Kama huna video basi unaweza kujirekodi kwa kutumia hata simu yako ya kawaida ya mkononi video isiozidi dakika 7 na MB 700 ukiwa ama unaimba au unacheza au unapiga ala ya mziki.

    Deadline ya kuingiza video yako kwenye mashindano haya ni 31/01/2017 na mashindano yanaanza online tarehe 15/02/2017

    Kwa habari zaidi kuhusu mashindano haya na jinsi ya kushiriki fungua blog hii http://mashindanoyadunia.blogspot.com

    JibuFuta

 
Top