
Kutana na Nase mwanadada mtanzania ambaye kwa sasa yupo masomoni nchini marekani.
Nase ni mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka nchini tanzania akiwa ni mzaliwa wa mkoa wa arusha..Kwa sasa Mwanabishosti uyo Nase yupo nchini marekani akiwa anaendelea na masomo..Ikiwa ni siku takribani sita sasa akiwa kaachia ngoma yake apa nazungumzia video yake inayofanya poa sana nchini marekani ambapo katika video iyo kuna mavazi flani ivi ya kuonyesha uzalendo wa nchi aliyotokea tanzania..Nase pia amefunguka kua yeye kabila lake ni mmasai na ndio maana kwenye video yake ameamua kudumisha mila kuwavalisha wazungu mavazi ya kimasai pia katika video iyo yameonekana mazingira flani ivi ya kiafrika (tanzania) kupakua na kuangalia video yake gusa link
Bofya HAPA https://www.youtube.com/watch?v=-yR-PstUPUA
kutazama na kupakua wimbo wa wa mwanadada Nase jina la wimbo tunaweza
Ikiwa ni video yake mpya kwa mawasilano/mahojiano zaidi check nae kwa
nambari +1 (218) 443-1364 unaweza kumcheki pia Facebook kwa jina.
Naserian Soipey ..... instagram @nase_naweza poweredby
@best_deejayz_in_bongo_tanzania @deejay_chocolate_musa
@sam_photographer1 #mwanaharakatidj #mkubalimwenzio #deejaychocolatemusa #bestdeejayzinbongotanzania #wesurpportanzania.... Habar, Naomba msaada wako kushea hii kwenye #SocialNetwoks 🙏🙏🙏🙏🙏

Chapisha Maoni