0
Nipe wakaseme ni ngoma yangu ya pili nilofanya baada ya Kata..
Kata na Nipe wakaseme zote nilifanyia Free nation studio chini ya producer T.Touch
    Pia Ngoma hizo zote mbili nimefanya video chini ya Director Tonee blazee.
   Video ya Nipe wakaseme natarajia itaniletea mafanikio makubwa kutokana na kiwango cha video ambayo inaonekana yenye kiwango cha kisasa..,
     Ninashukuru kuwepo kwa social Network ambazo ni kama Twitter, facebook na Instagram kwani zimekua kama fursa kwenye ukuwaji wa sanaa ya bongo... na hata mziko wangu unapata backup kubwa kutoka mitandao ya kijamii...
   Nawaomba mashabiki wangu waupokee vyema wimbo wangu wanipe wakaseme kwani kupitia wimbo huo nimedhirisha nikiasi gani niko serious na hawata jutia kushabikia mziki wangu...
Wanaweza kuupakua wimbo wa nipe wakaseme kupitia mkito kwa kusarch jina la staric music -Nipe wakaseme.
Na wanaweza kunifollow pia insta kwa jina la staricmusic

Chapisha Maoni

 
Top