0
itazame ngoma ya mwanadada kutoka arusha Santana akimshirikisha walter chilambo  ngoma inaitwa nipe ni ngoma ambayo inafanya poa sana kiukweli..Santana akiongea na best djz in bongo amesema kwa sasa amehamia dar rasmi kikazi zaidi kwaivyo wakongwe wajipange katika game maana atakaza mwanzo mwisho anasema kua anaheshimu sana waliomtangulia katika game ila wakilegeza tu lazima awapige kamba anasema japo changamoto ni kubwa ila kamwe awezi kata tamaa..anasema pia kinachompa moyo ni kwamba ameshafanya show nyingi mno ambazo zimekua zikimuwezesha katika mipango yake ya kikazi santana pia ndio msanii wa kwanza kufanya show arusha na kuanza kugombaniwa na wanaume kwa chanzo cha mwanahabari wetu anasema aijawahi tokea..

Chapisha Maoni

 
Top