0
JAMAA ANAKIMBIZA VIPINDI VYOTE VYA MICHEZO YAANI SUPER SPORTS KUANZIA SAA MBILI NA NUSU USIKU MPAKA TATU KAMILI ,SIKU YA JUMAMOSI ANGA LA MICHEZO SAA TISA MPAKA KUMI KAMILI ZA JIONI ,PIA ANAFANYA KIPINDI CHA BURUDANI CHA IN DA CLUB KILA  SIKU YA JUMAMOSI KUANZIA NNE KAMILI MPAKA SABA ZA USIKU .MCHEKI MITANDAONI FB ANATUMIA JINA LA NURU PAULO FERUZ ,INSTAGRAM MCHEKI KWA NURU_PAULO_FERUZ.

Chapisha Maoni

 
Top