0
watu wangu wa maana sana tukutane baadae kwenye the beat 120 ya triple a fm 88.5 arusha ntahusika kuanzia mida ya sa 7 mchana mpaka 10 jioni itakua nizaidi ya ulivyozoea pia unaweza nisikiliza popote duniani kupitia www.tripleafm.com dondosha playlist yako apa ihusike baadae kitaa chako unakosaje kwa mfano team chocolate wote pale kati ama siyooo.....share na wanetu kama umeelewa ‪#‎wessurportanzania‬ ‪#‎besdeejayzinbongotanzania‬ ‪#‎deejaycholatemusa‬ ‪#‎mwanaharakatidj‬

Chapisha Maoni

 
Top