
Beef imeibuka kati ya msanii Bobby Mapesa na Godfather wa muziki wa Genge’Nonini’ baada ya Bobby kumdiss Nonini na P Unit.
Kwenye wimbo wake mpya ‘Tuzidi -Bobby
Mapesa & Calvo Mistari’ Bobby Mapesa anasema “Nilifyeka mgenge kwa
mtoto mzuri akazaa ile unit saa hii imebeat…” akimaanisha “I hooked
Mgenge, with a good girl who gave birth to that Unit that is now
irrelevant”
Rapa Nonini hakuchelewa kujibu mashambulizi kwa kusema “Unajiitaje Mapesa na hata huwezi kulipa kodi ya nyumba na hata kununua gari?
Chapisha Maoni