PATA RATIBA KAMILI YA DJ CHOCOLATE WA ARUSHA HII APA
Ebana inakuaje wanangu kwanza naomba radhi kwa kupotea mda sana umu msiwaze tuko pa1 kama kawaida acha niwape ratiba zangu wanangu wenyewe na #teamchocolate nzima kama kawaida kuanzia j3 saa 7 mchana mpaka sa 10 jioni utanipata kwenye the beat 120 TRIPLE A RADIO 88.5 ARUSHA pia unaweza nisikiliza popote duniani kupitia www.tripleafm.com j5 tunakutana triple a night club bila kusahau ijumaa na jumamosi mida ya sa 10 jion mpaka 12 tusomane triple a radio katika kipindi cha old streem baada ya hapo nahamia triple a night club usinikose mtu wangu every week #wesupportanzania #mwanaharakatidj #deejaychocolatemusa #bestdeejayzinbongotanzania


Chapisha Maoni