1
Wimbi la maboss au wamiliki wa club na madisco kunyanyasa ma-dj likishika kasi madj nao wameshtuka na kuamua kujisimamia kwa kukataa kunyanyaswa na wanaojiita matajili au wamiliki wa ma-disco,,''huko arusha dj silver aliekuwa anafanya kazi katika ''Njeree's bistro club'' ameamua kuacha kazi baada ya kukuta mshahara wake ambao walielewana na boss wake hauko sawa (umekatwa) bila maelezo,,''akajaribu kuongea na meneja ambae nae hakummpa ushirikiano wa kutosha akaamua kumuona mkurugenzi akidhani atampa ushirikiano nae hakumpa ushirikiano wa kutosha,,hapohapo dj silver aliamua kuachana na manyanyaso hayo na kuanza kufanya shughuli zake binafsi,,''wito kwa Serikari iwaangalie na kutizama sekta hii ya djs bado iko nyuma na hawa wamiliki wa hizo club wanafanya mambo wanavyotaka wao wakati hiyo ni sekta iliyoajiri vijana wengi na wanaendesha maisha yao kwa kutegemea kazi hiyo na vijana hao sio mzigo kwa serikali tena...''Hongera Dj Silver TUNAWAKAZIA MPAKA KIELEWEKE''

Chapisha Maoni

 
Top