0
Ngoma kali kutok kwa mwana dada yunar nitulie ni moja ya kichupa kinachofanya poa sana apa nchini Tanzania sisi kama moja ya ma djs wanaofuatilia game ya muziki wa kizazi kipya tunamtabiria makubwa.  .embu angalia na wewe alafu tupe maoni yako

Chapisha Maoni

 
Top