![]() | |||||
Kwenye picha ni Dj Chocklate |
Kwa sasa kundi hilo lipo katika mchakato wa kutengeneza katiba ambao utasaidia kuweza kulifanya kundi hilo liweze kusajiliwa na serikali na liweze kutambulika kisheria. Kupitia hii itaweza kusaidia ma dj wengi nchini Tanzania kuweza kupata haki zao kama ma dj nchini maana wamekuwa wakinyanyasika sana na waajiri wao
Ma Dj hawa wameweza kuunda kundi hili ili waweze kujikomboa na baadhi ya waajiri ambao wanawanyanyasa hasa wanapowajiri
Chapisha Maoni